kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Jul 20, 2022 #1 Kwema wakuu? Naomba mwenye cv ya Afande Camillus Wambura aiweke hapa tafadhali.
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Jul 20, 2022 #2 Nenda kituo chochote Cha polisi utamuona
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,589 Reaction score 35,268 Jul 20, 2022 #3 Mama anawageuza kama chapati Watanzania , hata hvyo ndo namna Bora zaidi ya kufanya siasa
John Gregory JF-Expert Member Joined Jul 14, 2019 Posts 1,137 Reaction score 2,147 Jul 20, 2022 #4 Fika kituo cha karibu cha polisi waambie nimekuelekeza wakupe hiyo CV
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Jul 24, 2022 #5 Vituo vyote hivi vya polisi unashindwa kwenda kuuliza ?
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Jul 24, 2022 #6 kyagata said: Kwema wakuu? Naomba mwenye cv ya Afande Camillus Wambura aiweke hapa tafadhali. Click to expand... Wanakuja kukupa mwongozo
kyagata said: Kwema wakuu? Naomba mwenye cv ya Afande Camillus Wambura aiweke hapa tafadhali. Click to expand... Wanakuja kukupa mwongozo
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Jul 24, 2022 #7 Mbona rahisi tu kujua CV yake ndugu? Wewe jiunge na vikundi vya uhalifu ie ujambazi, utapeli au ukibaka sugu, ukiingia ktk 18 zake mbona CV yake utakuwa umeipata kwa 105% 😀
Mbona rahisi tu kujua CV yake ndugu? Wewe jiunge na vikundi vya uhalifu ie ujambazi, utapeli au ukibaka sugu, ukiingia ktk 18 zake mbona CV yake utakuwa umeipata kwa 105% 😀