Mwenye cv ya SHIGONGO

mtoa thread kauliza swali la kawaida tu, lakini kwa wachangiaji imeonakana kama vile kauliza la kejeli! hta mimi ningependa kujua cv yake, inaweza toa changamoto nzuri tu kwa wengi hapa jukwaani. ebu mwenye kujua cv ya shigongo aje atuwekee hapa tafadhali.
 
Dah, umenikumbusha mbali 'poti', huyo mzee amekufa kama mbuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…