Kim Jong Un
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 496
- 263
Aisee. Hii hatari sana. Mshikamano wetu kama taifa unatoweka tukiangalia hivi hivi kwa ajili ya watu kutokuzingatia utu.Amani ya nchi hii inachezewa na Faru John, Mwanzo wa ngoma Ni lele.
Walianza Mbozi kuchoma shamba la mtendaji.
Sasa Moshi wamechoma ofisi ya serikali za mtaa.
Makubwa zaidi yanakuja.
Ugaidi umeanza nchini
Wanabodi Muundo wa wizara ya TAMISEMI ulivyo unaanzia kwa Rais mwenyewe kama waziri Mwenye mamlaka ya hii wizara.
Kwamfano mamlaka ya kuteua baadhi ya nafasi Huko halmashauri yapo Chini ya waziri na Rais anateua hizo nafasi kwasababu yeye ndo mwenye dhamana ya wizara.
Hivyo maamuzi yeyote kutoka TAMISEMI yanastahili kutoka kwake Rais.
Kuna gazeti liliamrishwa kuomba radhi kwani kuna madudu yalitendeka nafikiri Kibaha, jamaa wale waka andika Madudu yatendeka Ofisi ya Raisi-cha mtema walikiona. Hivyo hata hili wakilishtukia gunia la misumari linaweza likamdondokea Jafo, vinginevyo awe na damu kama ya kijana mpendwa DAB.Kwahiyo unamaanisha tushinikize rais ajiuzulu?
Jiwe sio mzima tusipomdhibiti mapema atatuangamiza