chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 99
- 189
Naomba ramani mkuu hali tete pangu pakavu tia mchuziWe jamaa japo nimekufahamu leo lakini unaonekana una mambo mengi katika mda mchache
Mungu akujaalie upate hitaji lako, pole sana navaa uuhusika nahisi maumivu unayopitia. Mungu akusiamamie ufanikiwe.Nimechoka kukaa bila kazi. Kama kuna mwenye dili la kuvuna mahindi au mazao mengine, naomba anielekeze.
Kwa sasa nipo Dar es Salaam na niko tayari kusafiri popote penye kazi. Naomba mwenye taarifa au mchongo wa kazi ya kuvuna mazao anisaidie.
Nenda bakheresa buguruni kazi hukosiNimechoka kukaa bila kazi. Kama kuna mwenye dili la kuvuna mahindi au mazao mengine, naomba anielekeze.
Kwa sasa nipo Dar es Salaam na niko tayari kusafiri popote penye kazi. Naomba mwenye taarifa au mchongo wa kazi ya kuvuna mazao anisaidie.
Ndiyo mkuu nawezaUnaweza kuvuna mpunga?
Nikaibe mahindi? Masikini tuna fikra zilizojaa kinyesi kwakweli.Dili zote unszoomba untaka ukaibe tu
ShwainiNikaibe mahindi? Masikini tuna fikra zilizojaa kinyesi kwakweli.
Sasa mkuu kweli kweli nikaibe mahindi yatanisaidia Nini?Shwaini
Barikiwa sana.Nenda iringa sehemu inaitwa Tanangozi
Kuna jamaa tajiri anaitwa Dr msekwa ana mashamba ya kutosha ya mahindi na uvunaji Tyr umeanza
Asubuhi anapakia vibarua kwa gari anawapeleka shamban baada ya kazi mnalipwa na kurudishwa nyumbn
Lakini pia nje na hyo anzia hapo hapo Tanangozi nenda vijiji vinavyofuata kama vile Malagosi, mlolo lyamgungwe kote huko sahivi watu Wana uhtaji wa vibarua wa kuvuna mahindi, nyanya , viazi
Ukiweza pia unaweza kusogea sehemu za kilolo, mufindi, mpaka mafinga huko Kazi kubwa n kubeba mbao kupakia kwenye semi truck na kusafisha mashamba ya miti