Mwenye diploma ya pharmacy

Mwenye diploma ya pharmacy

tss

Member
Joined
Aug 31, 2023
Posts
73
Reaction score
41
Habari Wana jamii ,Mimi nilikuwa nauliza kama unadiploma ya pharmacy je ukitaka kufungua pharmacy yako binafsi itabidi mpaka uweke cheti Cha mfamasia mwenye degree,na je cheti Cha mtu mwenye diploma anaruhisiwa kutumia cheti chake kusimamia duka la dawa hata kama Hana degree.napenda kuwasilisha kwenu
 
Nikiwa kama mdau wa afya MWANDAMIZI senior..

Iko ivi wewe mwenye diploma ni Technician so Ili ufungue pharmacy inabidi cheti Cha degree ya pharmacy pia uwe registered pharmacy council (Superlitendant)

Wewe nenda sehemu ambazo hazina pharmacy mfano makazi mapya au vijijini sehemu ukafungue DUKA LA DAWA MUHIMU (DLDM)
 
Ko duka la dawa muhimu hakina haja ya cheti kabisa Cha mfamasia
 
Back
Top Bottom