Ko duka la dawa muhimu hakina haja ya cheti kabisa Cha mfamasiaNikiwa kama mdau wa afya MWANDAMIZI senior..
Iko ivi wewe mwenye diploma ni Technician so Ili ufungue pharmacy inabidi cheti Cha degree ya pharmacy pia uwe registered pharmacy council (Superlitendant)
Wewe nenda sehemu ambazo hazina pharmacy mfano makazi mapya au vijijini sehemu ukafungue DUKA LA DAWA MUHIMU (DLDM)
Mdogo angu,Ko duka la dawa muhimu hakina haja ya cheti kabisa Cha mfamasia
NdioKo duka la dawa muhimu hakina haja ya cheti kabisa Cha mfamasia