Mwenye display/screen ya laptop dell latitude 620

DR. RICHARD

Senior Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
123
Reaction score
25
Tafadhari wana JF, kwa yeyote mwenye display ya laptop hiyo tuongee biashara, kwani kuna laptop inakufa screen yake.
 
kwani imeharibikaje maana kunajamaa huwa anatengeneza
 
Ina leta rangi tu mkuu, haidisplay chochote nimeonana na mafundi wawili wameniambia nitafute nyingine
 
Jaama nimeuuliza kasema anaweza kama vip ni pm namba yako nikuunganishe nae yuko dar
 
Sometimes unaweza ukadhani ni display kumbe siyo.ukiweza ijaribu kwenye mashine nyingine.kuna kitu kinaitwa vga kipo kwenye motherboard huwa kinakufa hasa katika hizo dell d630 na 620.mimi ni fundi pia nipo mwanza
 
Ikiwa issue ni hiyo display imekufa basi ntakusaidia kuipata pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…