Mwenye duka la spare za pikipiki/bajaji/toyo

Mwenye duka la spare za pikipiki/bajaji/toyo

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Msaada, ni vitu gani vinaitajika humo dukani? Kuanzia ni mtaji bei gani, na ni bora kuagiza mtandaoni au nje ya nchi? Je, ukinunua hapa hapa ndani na wewe kuuza faida zipoje?
 
Biashara nzuri sema unahitaji uwe na fundi piki piki hapo nnje

ambae atakua anatengeneza piki piki za wateja

more info : onana na madereva boda boda
 
Kuhusu vifaa onana na mafundi pikpik ,,watakuambia vifaa gani uweke dukan maana wao wanajua ,kingine angalia zone uliyopo pikipik gan wanazopendelea watu ili uwaletea vifaa vinavyohusiana na pikpik hyo,,, kuna zone watu weng wanatumia boxer ,so inabid dukan uweke vifaa ving vya boxer
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom