Kuhusu vifaa onana na mafundi pikpik ,,watakuambia vifaa gani uweke dukan maana wao wanajua ,kingine angalia zone uliyopo pikipik gan wanazopendelea watu ili uwaletea vifaa vinavyohusiana na pikpik hyo,,, kuna zone watu weng wanatumia boxer ,so inabid dukan uweke vifaa ving vya boxer