Mwenye elimu ya kilimo cha asali na soko lake anisaidie muongozo

Mwenye elimu ya kilimo cha asali na soko lake anisaidie muongozo

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Habari wadau,

Mimi ni kijana mjasiriamali ambae siku zote ndoto zangu ni kufanikiwa na njia pekee ya kuyafikia mafanikio ni malengo na uwekezaji.

Katika pita pita zangu na harakat za kutafuta I dear za biashara akapita nyuki mbele yangu jambo ambalo lilinifanya nifikirie kupitia nyuki naweza Pata fulsa gani ambapo nilipata jibu Asali inaweza kua Dil sababu asali litter moja ni Zaid ya shilingi elf 10 na uhitaji wake ni mkubwa.

Nikaona nijaribu na mimi ila bado nataka kujua mengi mfano uzalishaji wake garama na vitu vya kuepuka na kwa ukubwa gani naweza Pata asali kiwango fulan?

Pia soko la nje asali inauzwa Sana wapi!?

Asanten
 
Mkuu majibu ya maswali yako yote yanapatikana Google kwa ufasaha. Pia kumbuka kuepuka motivational speakes.
 
Back
Top Bottom