Yeyote mwenye eneo la kuuza kuanzia heka 10 na kuendelea, liwe maeneo ya kuanzia Mwenge hadi Tegeta.
Anipm au email; buyanza@gmail.com. WhatsApp: 0712 787939
Msisitizo: Eneo hilo lisiwe mbele ya Tegeta.[/QUOTE............
mkuu ngoja tuingie vitani nikuchekieer
Heka 10 hupati mkuu usijitaabishe
hakuna kinachoshindikana chini jua
mkuu humtakii mema mwenzako?eneo lipo jeshini lugalo ndani