Mwenye experience ya hii kitu,anipe ushuhuda!

Da umenikumbusha mbali sana nakumbuka kuna mdada nilimtokeaga akasema sina hadhi ya kuwa na mtu kama yeye !!
Dawa ni kumchinjia baharini tu yeye si alimwaga mboga na wewe unamwaga ugali !!
 
Sawa . kama alinitosa lakini akunifanyia zarau nitampa job vingivyo no
 
Tatizo si ajira kuumpa. Tatizo lauyo gul anakuzala sana.....Mwisho; usimpe ajira coz atakuzarau ata ukiwa nae offisini kwako, nibola umwambia nafasi amna akajaribu sehemu nyingine full stop.

Wakati mwingine tunapotoa comments tuwe tunajiweka kwenye nafasi ya hawa watu. Assume ndiyo wewe ukafanyiwe hivyo kisa tu hukuwa na hisia naye kwa hiyo ikugharimu hata kwa maisha mengine. Eti au utakiwe kumpa kwanza alichokuwa anakitaka siku nyingi ili tu uweze kuajiriwa. Assume huyu anayefanyiwa haya ni dadako au mchumba wako?
Mimi nafikiri kikubwa hapa angalia sifa zake na umpe kile kinachomstahili na utekeleze majukumu yako kulingana na ethics za kazi zako na hayo mengine kama yatatokea basi iwe ni mutual aggrement. Katu sitamharass mtu kwa sababu ya kunibania au kuniumiza kimapenzi.
 
Kama ana sifa unatakiwa kumpa kazi.
kukukataa sio sababu ya wewe kumtosa.
Utakuwa na akili ndogo sana ukimnyima ajira kama ana sifa stahili.
Ulitaka awakubali wangapi

well said!
 
Just do your part,God will do the rest kwa kweli. Love takes time mkuu,anaweza akawa anadharau mbaya lakini mungu ndiye kapanga yote yawe hvy na mwisho wa siku ndy mkeo tena. Kwahy ww msaidie na utimize kazi zako mengine muachie mungu
 
Da umenikumbusha mbali sana nakumbuka kuna mdada nilimtokeaga akasema sina hadhi ya kuwa na mtu kama yeye !!
Dawa ni kumchinjia baharini tu yeye si alimwaga mboga na wewe unamwaga ugali !!

enzi za mwl. sawa. but kwasasa jiwe kwa jiwe.

Akuna tabu mkuu/sister. Nikweli lakini zarau punguizeni simpangao uwo. unajuwa mdau MILIMA AKUTANI LAKINI binadamu ukutana So usimtendea zarau mtu kisa ana sifa yakuwa nawe.

Kaka kama n mimi..'nampa maneno makal alaf nampa ajira,,'
 
Kama ana sifa unatakiwa kumpa kazi.
kukukataa sio sababu ya wewe kumtosa.
Utakuwa na akili ndogo sana ukimnyima ajira kama ana sifa stahili.
Ulitaka awakubali wangapi

yes man you talk OTIS na inatakiwa asihusishe mapenzi na kazi kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Da umenikumbusha mbali sana nakumbuka kuna mdada nilimtokeaga akasema sina hadhi ya kuwa na mtu kama yeye !!
Dawa ni kumchinjia baharini tu yeye si alimwaga mboga na wewe unamwaga ugali !!

ilikuaje,ebu tusimulie kidogo mkuu.
 
Da umenikumbusha mbali sana nakumbuka kuna mdada nilimtokeaga akasema sina hadhi ya kuwa na mtu kama yeye !!
Dawa ni kumchinjia baharini tu yeye si alimwaga mboga na wewe unamwaga ugali !!

Angekubali ungemuona malaya na angeomba kazi ungemnyima.
kuishi na watu kazi
OTIS
 
Kama ana sifa unatakiwa kumpa kazi.
kukukataa sio sababu ya wewe kumtosa.
Utakuwa na akili ndogo sana ukimnyima ajira kama ana sifa stahili.
Ulitaka awakubali wangapi

Asante.............
 
wewe hukuwa na hadhi ya kuwa naye...done! kama yeye ana hadhi ya kupata hiyo kazi (sifa) mpe kazi...
 
kama wakati yupo super alinidharau alaf saiv kachoka, inamaana nikimpa kazi akishaanza kupendeza tena hata kama simtaki tena lazima ataanza dharama hata kwa njia nyingne tu.......so mwache asepe najua wenye qualification watakua bado wengi tutampa kazi mwingne:target:
 
kama una uwezo wa kumuajiri una uwezo pia wa kumfukuza, so muajiri akizingua kazini na nyodo piga chini, lakini mzungushe kisela ili heshima irudi...na take note..usiwe cheap kwake, mademu hawaachagi dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…