hilo swala la wizi linaweza zuilika kwa muda,mana gari inaweza lala hata kituo cha polisi,hio ya ulinzi haina tatizo,nataka kujua spare zake ni kama x-trail au la?mafuta na barabarani hali yake ipo vip?Escudo ni Gari isiofaa kabisa Gari ukipaki Mara Moja unakuta wameiba kila kitu cha ndani wezi wote wa kariakoo wakikuona umepaki wanshukuru
Escudo ni Gari isiofaa kabisa Gari ukipaki Mara Moja unakuta wameiba kila kitu cha ndani wezi wote wa kariakoo wakikuona umepaki wanshukuru
hahaaa...inatesa hatari lkn bado nnayo,ofcoz ni zile zamani...verry strong ila shida ni hiyo aseeEscudo ni Gari isiofaa kabisa Gari ukipaki Mara Moja unakuta wameiba kila kitu cha ndani wezi wote wa kariakoo wakikuona umepaki wanshukuru
mkuu Pagan Amum ,ina maana siwez kabsa pata hii gari kwa bei below hizo ulizosema?Hakuna gari zuri kwa sasa kama Suzuki Escudo.... Ninalo tokea january, aisee hii gari iko pouwa sana.. Kwa sasa unaweza kuipata kwa 29 mpaka 28 Ml
Hivi kwa mfano unataka gari aina flani, ukaingia kwenye mtandao ukauliza bei kwa kutumia TRA CALCULATOR, zile gharama zinazokuja kwa jumla ndo bei ya hyo gari au baada ya zile gharama wanazozitoa pale kuna zingine!? Kwa wazoefu wa tra calculator please!Napenda sana umbo la hizi gari. Hivi model hiii ndio new model ya zile Eskudo za zamani?