TRA hawaoneshi bei ya gari wanaonesha ushuru wa TRA pasipo kuweka ushuru wa shipping line and TPA.Hivi kwa mfano unataka gari aina flani, ukaingia kwenye mtandao ukauliza bei kwa kutumia TRA CALCULATOR, zile gharama zinazokuja kwa jumla ndo bei ya hyo gari au baada ya zile gharama wanazozitoa pale kuna zingine!? Kwa wazoefu wa tra calculator please!
Zipo gharama zingine ambazo ni agency fee na gharama ya bandari, agency fee ni kama laki 3 na bandari ni kama laki 5, agent ndie anaetoa gari bandarini.Hivi kwa mfano unataka gari aina flani, ukaingia kwenye mtandao ukauliza bei kwa kutumia TRA CALCULATOR, zile gharama zinazokuja kwa jumla ndo bei ya hyo gari au baada ya zile gharama wanazozitoa pale kuna zingine!? Kwa wazoefu wa tra calculator please!
weka picha hapa tujue kama ni vitara ,picha kwanza maana niliwahi kuwa na escudo vitara nilikuwa naiita kifaru kila sehemu inapitaHabari
Naombeni wazoefu wa magari mniambie sifa za gari hii 2001 SUZUKI ESCUDO. Maana sijui kabisa sifa zake, na je makadirio ya bei yapoje ikiwa kama unauziwa mkononi used namba ''B'' makadirio ya bei mkononi sahivi yapoje? Je ni kweli kwamba hizi gari zimepitwa na wakati?
maana nimekutana jamaa anaiponda sana kuwa eti hazifai, zimepitwa na wakati. Naombeni wataalam ebu nipeni darasa hap kidogo.karibuni wadau.
Check nimekuwekea design ya aina hiyo.weka picha hapa tujue kama ni vitara ,picha kwanza maana niliwahi kuwa na escudo vitara nilikuwa naiita kifaru kila sehemu inapita
Makadirio mkononi zinaendaje mfano kwa namba B? vipi zinafaa kwa safari kwenda mikoa?Kweli hiyo hari ni nzuri mno na ni ngumu saana
asante kwa ushauri ila vipi kwani...AC za gari hizi hazidumu? au zinazinguaje?Gari zuri sana kama wewe ni mtumiaji wa AC sana, Suzuki eneo hilo hawako vizuri , kwa hiyo kwa miji yenye joto I nahitaji uvumilivu kdg
Haina balance kivipi mdau. sijakupata hapo kidogo umeniacha.Usinunue Suzuki sio nzuri. Inachakaa sana labda kama hutaitumia roughroad. Pia haina balance wakati stability. Nunua Rav 4 ni nzuri sana. Niamini.
weka picha mkuuMkuu ninayo namba B escudo safi kwa 6mil, ipo Dar. Kama unahitaji kuijaribu tuasiliane.
achana nayo ,kwanza AC yake haipozi ,cc zake ziko juu kama sikosei1800 au 2000,haina balance,spare juu,na bei yake itakuwa inakimbizana na RAV4 nilidhani unaongelea kifaru hiki cha milango mitatu ambacho kina cc 1200Habari
Naombeni wazoefu wa magari mniambie sifa za gari hii 2001 SUZUKI ESCUDO. Maana sijui kabisa sifa zake, na je makadirio ya bei yapoje ikiwa kama unauziwa mkononi used namba ''B'' makadirio ya bei mkononi sahivi yapoje? Je ni kweli kwamba hizi gari zimepitwa na wakati?
maana nimekutana jamaa anaiponda sana kuwa eti hazifai, zimepitwa na wakati. Naombeni wataalam ebu nipeni darasa hapo kidogo ubovu na uzuri wa hizi gari.karibuni wadau.
View attachment 370900
uzuri wake ni nini tofauti na escudo?chukua rav 4
Hazina nguvu kabisaaa!asante kwa ushauri ila vipi kwani...AC za gari hizi hazidumu? au zinazinguaje?