mwenye gari aina ya noah tufanye biashara.

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Mwenye gari aina ya Noah nataka niingie nae mkataba niwe namletea shs 200,000/= kwa wiki ninayo tenda ya wanafunzi WA chekechea ubungo nani naishi ubungo shule inafunguliwa wiki ijayo tarehe 9/january tafadhali mwenye moyo WA biashara tufanye kazi piga 0714064767 for more information
 
Wanafunzi na Noah kweli,wanaingia wangapi mle,au ndio wakae mpaja juu ya viti.
Anyway wewe ndio unajua.
Je unataka New Model au Old Model

na Je Dhamani unayo?

Mie ninazo New Moden na Old Model ila kwa masharti yafuatayo:
-Dhamana ya kuaminika
-Muda wa Mkataba usiwe chini ya mwaka,maana sio inafika miezi miwili au sita mtu anakuambia biashara basi wakati ume cancel au umeshift plans nyingine.
-Kuwa tayari kusign kwa mwanasheria wangu kulingana na makubaliano

Haya mwaga maneno.
 
mkataba hyo sio mwaka Tu Ni kazi endelevu kasoro wakat WA likizo Tu take action on it,
 
Wadau katika maendeleo tunategemeana ili tufanikishe kama wahindi wanavyoendelea kwa njia hzo Tanzania we need to wake up otherwise we may end up poor to death
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…