Mwenye gari ana gari tu, hili jua linanipiga balaa

Mwenye gari ana gari tu, hili jua linanipiga balaa

Tafuta hela upate gari la maana,3.5m unajitafutia stress bure!
 
Kam unamiliki chombo cha moto chenye miguu minne yaani cc chini ya 1900cc ndugu tafuta hela..

Heri yetu sisi wazee wa (kushika mkuki) daladala.
 
Back
Top Bottom