mwenye habari kuhusu university of bagamoyo

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
15,045
Reaction score
5,108
habari wanaJF naomba mwenye taarifa kuhusu hiki chuo anijuze, je wana evening prog hasa kozi za Sayansi kama Geomatics? Chuo kiko kawe, au Bagamoyo? Ubora?
 
nyumbani kwa mkuu wa kaya huko..ila mi sikijui hiko chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…