zazanjaru Member Joined Jan 3, 2017 Posts 14 Reaction score 3 Jan 4, 2017 #1 Kwanini kuna miezi kumi na mbili katika mwaka?
moghasa JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 1,084 Reaction score 1,254 Jan 6, 2017 #2 Kwasababu mwaka una miezi kumi na mbili!!
Herry Ally Member Joined Dec 12, 2016 Posts 60 Reaction score 36 Jan 8, 2017 #3 rudi katika kipindi cha teutons......before English wakati romans na celts wako huko katika eneo la wa-anglo saxon
rudi katika kipindi cha teutons......before English wakati romans na celts wako huko katika eneo la wa-anglo saxon
pistmshai JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 1,313 Reaction score 3,683 Jan 8, 2017 #4 huwezi kutaka kujua kwanini mwaka una miezi 12 bila kutaka kujua kwanini sekunde ina nukta 100, dakika ina sekunde 60, saa ina dakika 60 na siku ina masaa 24..
huwezi kutaka kujua kwanini mwaka una miezi 12 bila kutaka kujua kwanini sekunde ina nukta 100, dakika ina sekunde 60, saa ina dakika 60 na siku ina masaa 24..
Jandaruma JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 527 Reaction score 480 Dec 25, 2017 #5 Sijaelewa