Mwenye historia ya Prophet Seguye atuwekee

Mwenye historia ya Prophet Seguye atuwekee

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Prophet Seguye wa Kivule kituo cha Matembele ya Pili ni mkuu wa huduma ya Kisima cha Mpenyo.

Amekuwa maarufu hivi karibuni kwa kutoa maelekeo ya wanaoenda kuombewa kwake waende na nywele zao ndani ya vitambaa.

Naomba mwenye historia yake ama waliphudumiwa naye tuweze kumfahamu zaidi
 
Attachments

  • Fka8EKMWYAAaUMl.jpeg.jpg
    Fka8EKMWYAAaUMl.jpeg.jpg
    75.5 KB · Views: 6
Prophet Seguye wa Kivule kituo cha Matembele ya Pili ni mkuu wa huduma ya Kisima cha Mpenyo.

Amekuwa maarufu hivi karibuni kwa kutoa maelekeo ya wanaoenda kuombewa kwake waende na nywele zao ndani ya vitambaa.

Naomba mwenye historia yake ama waliphudumiwa naye tuweze kumfahamu zaidi
Nachojua alikuwa dereva wa school bus.
 
Ninachojua siku ya mwisho Mungu atawachagua walio wake,na wale wasio wake atawakataa na kuwaelekeza motoni
 
Ni rahisi sana kutoboa kimaisha ukiwa mjini, kuliko Kijijini.

Ni akili yako tu ya kuchakalika halafu mwisho wa siku utakula,utakunywa, utavaa, na utalala mahali pazuri.
 
Back
Top Bottom