Nachojua alikuwa dereva wa school bus.Prophet Seguye wa Kivule kituo cha Matembele ya Pili ni mkuu wa huduma ya Kisima cha Mpenyo.
Amekuwa maarufu hivi karibuni kwa kutoa maelekeo ya wanaoenda kuombewa kwake waende na nywele zao ndani ya vitambaa.
Naomba mwenye historia yake ama waliphudumiwa naye tuweze kumfahamu zaidi
Wameshapeleka nywele zao ili dawa iingie vizuri?Huko ndio wanasali akina Halima James Mdee
We mzee weProphet wa kanisani kwetu😁😁😁
View attachment 2453641
Tuwekee link kwa hisani mkuuLwanda Magere Kama mnamfahamu kamuongelea vizuri huyu profet
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Ndio ndio,na nasikia sauti ya zege kapewa ushemasi pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko ndio wanasali akina Halima James Mdee