Mwenye hivi vitabu vya a'level anijuze!

Mwenye hivi vitabu vya a'level anijuze!

Chemiker

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
506
Reaction score
108
Habari wadau,
Mwenye vitabu vya Inorganic chemistry A' Level -Part 1 and Part 2 vya Tanzania Institute of Education(T.I.E) anitafute tafadhali! Au kama kuna anayefahamu mahali vinapopatikana anijulishe. Maana nimejaribu kutafuta Bookshop za Hapa Dsm nimekosa.
Natambua kwamba T.I.E hawahusiki na uchapishaji wa vitabu tangu 2004 ila kuna wale ambao walikuwa na copies zake hivyo vitabu.
 
mie nashauri utafute vitabu vya chadi kutoka India achana na In organic na physical chemistry sio mazuri kivile.
 
Back
Top Bottom