Habari wadau,
Mwenye vitabu vya Inorganic chemistry A' Level -Part 1 and Part 2 vya Tanzania Institute of Education(T.I.E) anitafute tafadhali! Au kama kuna anayefahamu mahali vinapopatikana anijulishe. Maana nimejaribu kutafuta Bookshop za Hapa Dsm nimekosa. Natambua kwamba T.I.E hawahusiki na uchapishaji wa vitabu tangu 2004 ila kuna wale ambao walikuwa na copies zake hivyo vitabu.