Mwenye huu wimbo

Mwenye huu wimbo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah pole saana mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Hahaha jana nimenyakua mtoto mkali wa Udom, , kaja dar kufany field hana kitu kaishiwa nimemwamishia geto kwangu Napga tuu [emoji12][emoji12]
 
Tumewapiga kwenye vijijiiiii ccm mbele kwa mbele, tunawanyooosha vitongojiniii ccm mbele kwa mbele
 
Naona mnazidi kunichoma moyo unajua mpaka mtu unafika sehemu unatamani ukapige mateke makaburi ya wazazi wako kwanini hawakujituma ili nisitegemee kihela cha field kama akina fulani maana Kuna wenzangu wakiomba tuu hela zinakuja +boom daa raha xana but wewe mwenzagu na mimi huna hata kwa kuomba bora wangekuepo hata kama masikini wanaweza kukusaidia japo 1000 Lakin huna daaaa majanga
 
Inauma sana broo , pole sana jamaangu[[emoji17] [emoji17]
 
Hapa ndiyo unawaonea huruma watoto wa like, hasa waliotoka familia maskini. Huna hata pa kuomba hats senti na uko mbali na nyumbani . lazima tu utafute njia nyingine ya kujipatia pesa kidogo walau spate kula. Poleni sana madogo.
Kuna binti moja nimeongea naye yuko field hadi unamwonea huruma.
 
Back
Top Bottom