Mwenye idea kuhusiana na hii kitu atupe elimu yake kidogo

Mwenye idea kuhusiana na hii kitu atupe elimu yake kidogo

Herry jr

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
74
Reaction score
134
Kama kuna mtu aliwahi kuwasikia au mwenye uelewa mkubwa juu ya uwekezaji wa "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri sana kwa malengo ya baadae na haijalishi kipato cha mtu
 
Back
Top Bottom