H Herry jr Member Joined Oct 16, 2020 Posts 74 Reaction score 134 Sep 30, 2021 #1 Kama kuna mtu aliwahi kuwasikia au mwenye uelewa mkubwa juu ya uwekezaji wa "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri sana kwa malengo ya baadae na haijalishi kipato cha mtu
Kama kuna mtu aliwahi kuwasikia au mwenye uelewa mkubwa juu ya uwekezaji wa "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri sana kwa malengo ya baadae na haijalishi kipato cha mtu
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Sep 30, 2021 #2 Herry jr said: "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri Click to expand... Moja kati ya haya mawili waweza fanya Fika kwenye ofisi zao upate elimu kuhusiana na uwekezaji wanao jihusisha nao Wapigie simu na watakuelewesha. Mawasiliano yapo kwenye website yao. Zaidi: Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?
Herry jr said: "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri Click to expand... Moja kati ya haya mawili waweza fanya Fika kwenye ofisi zao upate elimu kuhusiana na uwekezaji wanao jihusisha nao Wapigie simu na watakuelewesha. Mawasiliano yapo kwenye website yao. Zaidi: Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?