Mr Why JF-Expert Member Joined Nov 27, 2019 Posts 2,235 Reaction score 4,252 Nov 4, 2023 #1 Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu Kama unayo basi nikodishe kwa dakika tano tu nitakupooza kidogo
Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu Kama unayo basi nikodishe kwa dakika tano tu nitakupooza kidogo