rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 129
vipi walituma bure au kuna shipping cost walikudai?Mimi ilichelewa sana ila niliipata ili mradi address uliyo wapa ni sahihi na ATM haziimezi
ok thanks inachukua muda gani ukitumia dhl?Me ilichelewa mpaka ikapotea, nikaawambia wanitumie kwa DHL! Ikaja fasta! Tumia DHL, shipping cost ilkuwa kama tzs 60,000 mwaka jana mwanzoni!
thanks mkuu ntafanya hivyoMe ilichelewa mpaka ikapotea, nikaawambia wanitumie kwa DHL! Ikaja fasta! Tumia DHL, shipping cost ilkuwa kama tzs 60,000 mwaka jana mwanzoni!
hili tattizo la paypal kuzuia upokeaji wa hela kwa benk za tanzania inabidi litatuliwe kipindi hiki cha magufuli yupo madarakani............................mi mwenyewe nimekuwa nkikosa dili nyingi sababu ya paypal.......mimi pia ninawasiwasi naogopa kuapply manake kadi zisizokuwa na chip zinamezwa sana na atm nyingi especially za international electronic logos visa mastercard etc.ni hatari kwa eskim..-though sijaanza kupokea malipo via paypal.natafuta bank inayolink 1 kwa 1 malipo yanaingia bank.equity kenya inafanyaivo.cjajua tz kama walishaondolewa barriers za money laundering.
-natumia barclays tz.inafanya ivo ila cjafatilia kwa tz kama wanaiyo hudumac ya kuaccept payment 1 kwa 1 via paypal.stanbic nayo nilisikia.mwenye experience na ujuzi zaidi tadhali
Wanatuma bure hakuna garamavipi walituma bure au kuna shipping cost walikudai?
Samahani mkuu, with payoneer unaweza kupokea malipo kutoka nje ya nchi?Habari wana e commerce....
Mwenye kadi ya payoneer naomba anipe experience aliipata vipi maana nimeapply more than three times ila haikuwahi kufika hadi leo hii.........nshaongea na customer care wa payooner.....wanachonambia ni kwamba tutakutumia kadi nyingine.........but huwa hazifiki........naomba experience yako uliipata baada ya muda gani?......na kweli ATM za kibongo haziimezi moja kwa moja?......
Thanks in advance
yeah ukiwa na hii kadi inakuwa rahisi kupokea malipo kutoka nchi yoyote ile na kuichukulia atm yoyote ile yenye nembo ya visa na master cardSamahani mkuu, with payoneer unaweza kupokea malipo kutoka nje ya nchi?