peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Aug 16, 2022 #1 Uchaguzi wa kenya matokeo yameanza utata mkubwa mitandaoni. Mwenye Katiba ya Kenya tunaomba tafadhali Ili wengine tutafute suluhu kwenye hiyo Katiba.
Uchaguzi wa kenya matokeo yameanza utata mkubwa mitandaoni. Mwenye Katiba ya Kenya tunaomba tafadhali Ili wengine tutafute suluhu kwenye hiyo Katiba.
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Aug 16, 2022 #2 Ingia Google. Kenya huwa hawafichi kitu,.mpk mshahara wa Ruto utaukuta huko.
RWANDES JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,788 Reaction score 4,401 Aug 16, 2022 #3 Sexless said: Invia Google. Kenya huwa hawafichi kitu,.mpk mshahara wa Ruto utaukuta huko. Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenya wapo mbali sana mkuu
Sexless said: Invia Google. Kenya huwa hawafichi kitu,.mpk mshahara wa Ruto utaukuta huko. Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenya wapo mbali sana mkuu