Arch Mnyaheru
New Member
- Nov 17, 2019
- 1
- 0
Habari wanaforum,
Natafuta kioo cha Samsung Galaxy A20 kilichotumika na bajeti yangu ni 100,000/=.
Nipo Dar es salaam Kinondoni.
Kama atapatikani anitafute ili tuonane twende kwa fundi ili nikakifix na kuona kama kinafanya kazi ili tulipane pesa hizo.
Pesa yangu iko mfuko wa shati na hiyo ndiyo bajeti yangu kwa sasa.
Namba za simu:0757270278 na 0718744960