Mwenye kioo cha Samsung S10+ Super Amored kuna Tsh 200,000/= Cash

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Ndiyo nahitaji kioo cha Samsung S10+ Super Amored chenye frame yake kabisa.

Atakama ni used fresh ilimradi kiwe kimenyooka tu.

Ofa yangu ni Tsh 200,000/=
Location ni Dar es Salaam - Ilala -Kariakoo
Namba ya simu 0622 901670
 
Hivi Ebay shiping yao ni kama mda gani?
Inategemea na sehem bidhaa iliyopo kama china au Marekani,kuanzia wiki 2,mwezi,miezi mitatau,pia inategemea mzigo unakuja kwa njia gani,kama ndege au ship
 
Ok nimeamua kuchukua App yao nijilidhishe na hiyo bei nimeona chenyewe Amored kinaenda 360,000/= bila shiping ila kuna OLED ndiyo vinafika Tsh 150 mpaka Tsh 200!

Binafsi natumia sana AliExpress kuagiza vitu china ila bei nako kwa Amored ni 350
 
Wazee wa tecno na infinix hapo anapata simu mpya
 
Ok nimeamua kuchukua App yao nijilidhishe na hiyo bei nimeona chenyewe Amored kinaenda 360,000/= bila shiping ila kuna OLED ndiyo vinafika Tsh 150 mpaka Tsh 200!

Binafsi natumia sana AliExpress kuagiza vitu china ila bei nako kwa Amored ni 350
Chukua hata kioo cha OLED kama unaipenda sana hiyo simu... Vinginevyo uza kama spare then ongezea pesa vuta chuma ingine.

Samsung majanga ikiharibika kioo service yake ni robo 3 ya bei ya simu hiyohiyo.
 
tech ni kubwa sana ktk hivyo vioo vyao.

ndio sababu hata iphone walipoanza kuwatengenezea vioo 2017,vioo vya iphone navyo vikakasirika.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…