Wadau wa michezo humu ndani, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ninaomba msaada wa kitabu cha sheria za mpira wa miguu, na pia kama kuna mwenye kitabu cha mazoezi ya viungo kwa mpira wa miguu naomba tafadhali.
Natanguliza shukrani zangu.