Mwenye kitabu hiki au sehemu ambayo naweza pata.

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,596
Reaction score
2,226
Habari wanajukwa!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu,

Naomba mwenye kitabu, au sehemu naweza kukipata iwe kwa njia ya mtandao au soft copy kama mtu anayo naomba kusaidiwa.

Kitabu chenyewe kinaitwa PHARMACOLOGY OF A GRUG AND ADMINISTRATION.

natanguliza shukrani. Mwenye soft kopy anaweza nitumia hapa iGod@doctor.com,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…