BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Habari wajasiriamali wenzangu.
Naomba sana kuna hicho kitabu nimeweka cover picha yake hapo chini naomba kwa yeyote ambae ataweza kukipata basi sio vibaya na hatapungukiwa na chochote kama ataweza kushea nasi haswa wadau wa jukwaa hili la biashara, uchumi na ujiasiriamali..
Huyo kijana John Iwuoha tuseme ni mtaalamu sana wa kuchambua mada za kibiashara na uchumi na pia ana uelewa mpana wa FURSA za kibiashara hapa AFRIKA, mana sehemu nyingi ameshafika, na pia baadhi kama sio wote wafanyabiashara hua anazungumza nao na hua anaelezea japo kwa kifupi mfanyabiashara husika alipoanzia hadi kufikia alipo(mafanikio). Ana makala nyingi nzuri sana zenye kufafanua mambo kwa mtu yeyote kuweza kuelewa ambazo zipo katika website yake ya SMALLSTARTER.COM, huko pia utakutana na makala ya mfanyabiashara wa solar mtanzania milionea, Patrick Ngowi.
Kwahio kama kuna mdau yeyote atapata kitabu hiki basi asisite kutupia humu na wengine wajifunze, maana sio kila mmoja atakua na uwezo wa kukinunua, anauza kama 90$ hivi ambayo ni kama laki mbili za hapa kwetu Tanzania.