Mwenye kitalu cha uwindaji tuwasiliane

Mwenye kitalu cha uwindaji tuwasiliane

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari Wakuu

Nina rafiki nje ya nchi anatafuta kuwa mbia kwenye biashara ya uwindaji wa kitalii. Kama Kuna mmiliki wa hunting block tafadhali tuwasiliane Whatsapp 0676434611.

Shukrani
 
Dr Leakey ni nani mkuu? Yule commentator wa mpira au?
Huyo huyo mkongwe sana pande hizo.
Ofisi yake iko nyuma hapo New Africa Hotel kama hajahama hizo issue kaongee nae atakupa a be che de.
 
Huyo huyo mkongwe sana pande hizo.
Ofisi yake iko nyuma hapo New Africa Hotel kama hajahama hizo issue kaongee nae atakupa a be che de.
Nashukuru mkuu. Niko Arusha nimejaribu kutafuta namba zake sijafanikiwa. Kama una jina la ofisi yake tafadhali nitumie
 
Nashukuru mkuu. Niko Arusha nimejaribu kutafuta namba zake sijafanikiwa. Kama una jina la ofisi yake tafadhali nitumie
Hapo Arusha pia ana mtu wake muhaya hivi tulifanya nae kazi zamani sana anaitwa roger mtafute.
 
Kuna block zipo Liwale zimetangazwa na ofisi ya halmashauri wanahitaji wawekezaji.
 
Back
Top Bottom