Mwenye knowledge ya Computer forensics in Tanzania

Hivi kuna kitengo kama cha marekani cha National Security Agency (NSA)
 
fungua link ASCL - 15 years of awesomeness kisha angalia courses fungua course moja moja angalia modules utaweza kupata idea ni jinsi gani digital evidence zinakuwa presented pia kuna detective agency zipo hapa mjini unaweza kuomba kufanya attachment hao wengine wanaokwambia uwa pm mara namba za simu wanataka kukutongoza tu
 
Hiyo iliyopo Tanzania wanafanya kazi gani maana sijawahi wasikia kabisa....
Afu nahisi Tanzania rate ya cyber crime si kubwa kabisa, afu ni ngumu sana kumkamata mtu anayefanya cyber crime bongo.. hua wanapotezea tu..
 
Hiyo iliyopo Tanzania wanafanya kazi gani maana sijawahi wasikia kabisa....
Afu nahisi Tanzania rate ya cyber crime si kubwa kabisa, afu ni ngumu sana kumkamata mtu anayefanya cyber crime bongo.. hua wanapotezea tu..

Nikweli uelewa wa jamii juu ya uwepo wa kitengo hiki ni mdogo, lakin kipo na kinafanya kazi. Pia rate ya cyber imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka kutoka na matumiz makubwa ya mtandao. Japo sheria imekuwa nyuma kidogo kwenye kuyadefine makoxa ya mtandao. Japo kuna amendments zimefanyika kwenye sheria ya ushahidi.
 
kwa uelewa wangu mdogo wa masuala ya sharia or sorry sheria kuna kitu kinaitwa expert evidence hii ni aina ya ushahidi inayotolewa na mtu mwenye mafunzo maalum ya fani husika mfano daktari/ama ripoti ya daktari itahitajika kuthibitisha vina saba (dna) ndivyo hivyo pia kwenye uhalifu wa kimtandao kwa mwanasheria wa kawaida nachojua mimi jukumu lake kubwa ni kukusanya ushahidi ambao utakuwa una kubalika na sheria ya nchi husika (admissible) huko unapokwenda kwenye computer forensics hayo ni mambo ya IT kwa wewe mwanasheria ukipeleka hata ushahidi wa picha mahakamani lazima aitwe mtu mwenye taaluma yake athibitishie mahakama pasi na shaka lolote (beyond reasonable doubt) kwamba hiyo picha ni ya kupiga na wala siyo ya kutengeneza (photoshop), siku hizi kuna sahihi za kielektroniki kama imefojiwa inabidi pia mtu mwenye uelewa aithibitishie mahakama kwamba sahihi hiyo ni ya kufoji....mtazamo wangu kama unataka kujiendeleza unaweza uka specialize kwenye cyber laws kwa kuendelea kusoma lakini kama ni mwanasheria wa kawaida inabidi focus sana kwenye DEA yani digital evidence analysis .....pole kwa lugha za kigeni binafsi natokea kanda ya ziwa
 

Ninachojarib kukifaham ni the whole procedures of extraction of these computer forensics evidence jinsi inavoaffect admissibility yake mahakaman...ambapo watalaam wa forensic wananisaidia kujua aina ya cyber crime...wanaziproove vp nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…