najua humu kuna wataalamu wanaonesha mpira na mimi ndio nina anza biashara hii na nina anza na kifurushi cha dstv cha 82000/=je hapa nitaweza onesha epl na uefa? SuperSport Blitz
SuperSport Select1
SuperSport 2Select
SuperSport 9
SuperSport 9 East
SuperSport HD 11
SuperSport HD 12