mwenye kufaham hili

jack 1

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
61
Reaction score
63
naombeni msaada kuna mdogo wangu kapata chuo cha UHADHILI tabora naomba kuuliza kwa wanaojua je hiki chuo ukimaliza Ajira unapata serikalin au magumashi tu, msaada wadau
 
Hueleweki Mkuu huko tabora kapata chuo cha nyuki au Nursing??? hebu fafanua basi kma GT
 
Serikalini mbona kuna waliomaliza form IV pia?
Asome..hakuna elimu mbaya.
 
Kinaitwa chuo cha utumish wa umma(uhazili)ki ukwel hk chuo hakiko vzur sana,labda kama kna watu wa kumpa shav la ajira ila ajira zake hazna uhakika
 
Ajira zenye uhakika n afya,elimu na ulinz tuu kwingne kote magumash.
 
Mpeleke akasome ni chuo kizuri sana ni tawi la chuo cha magogoni ajira serikalini ndo mahala pake kinaitwa tanzania public service college(tpsc)
 
naombeni msaada kuna mdogo wangu kapata chuo cha UHADHILI tabora naomba kuuliza kwa wanaojua je hiki chuo ukimaliza Ajira unapata serikalin au magumashi tu, msaada wadau

Chuo ni chuo tu mkuu. Akili kumkichwa.
Ajira siku hizi ni akili yako.
Ila usikate tamaa. Ajira atapata kwa imani yake.
Mwache akasome. Hilo ndo la msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…