Mwenye kufahamu au kusoma Chuo cha Cavendish cha Uganda

Process zote ziko teyr nipe connection kama kunamtu kasoma. Pia nitasoma distance learning
 
Kwa nini unataka bachelor ya Public Health? Si ungesoma BSc. Environmental health

Any way nicheki PM niku conect na jamaa alisoma huko MPH
 
Mkuu kwa nini jnamshauri asome emvironmental health?

Je kuna vitu gani unavyoviona ni special kwenye hiyo ENV.HEALTH MKUU naomba kujua
 
Environment Health ni pana zaidi na inamuundo hata kwenye ajira za serikali ndio maana
nilisema hivyo ila hata hiyo Public Health ni nzuri japo inatambulika zaidi katika
level ya Master kuliko first degree.
 
Asee nimwkupata vyema mkuu
 
Back
Top Bottom