Mwenye kufahamu tiba ya sugu katika unyayo wa mguu

Mwenye kufahamu tiba ya sugu katika unyayo wa mguu

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,353
Reaction score
815
attachment.php

Wataalam wa humu JF napenda kuomba msaada wenu, kuna mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kuota sugu katika unyayo wa mguu na hupata shida wakati wa kutembea akanyagapo ardhini hapo mahali hapo panauma sana.

Ukichokora ni kama ungaunga unatoka na ukiendelea kuchokora ndani zaidi hutoa damu, Iliota ya kwanza na baadaye ya pili. Hofu yangu ni kwamba bila kupatia tiba sugu hiyo itaenea unyayo wote na kumwia vigumu kutembea.

Nategemea kupata ushauri na tiba iwe ya kitaalamu au asilia.
 
attachment.php

Wataalam wa humu JF napenda kuomba msaada wenu, kuna mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kuota sugu katika unyayo wa mguu na hupata shida wakati wa kutembea akanyagapo ardhini hapo mahali hapo panauma sana. Ukichokora ni kama ungaunga unatoka na ukiendelea kuchokora ndani zaidi hutoa damu, Iliota ya kwanza na baadaye ya pili. Hofu yangu ni kwamba bila kupatia tiba sugu hiyo itaenea unyayo wote na kumwia vigumu kutembea.
Nategemea kupata ushauri na tiba iwe ya kitaalamu au asilia.
Mpeleke hospitali na uwe unapasafisha kwa maji ya uvuguvugu kisha mpakae Asali asubuhi na jioni ataweza kupona
 
Back
Top Bottom