Nguku Wakabange
Member
- Oct 27, 2021
- 61
- 113
Nipo Arusha, ila huko ni mbali kwa mwaka huu pengine mwakani nije kujipanga kulima huko vipi shamba kukodi ni bei gani huko kwakoWewe uko wapi, Niko mkoa WA Geita tafadhali tuwasiliane nahitaji joint venture Maeneo yapo hukuhuku.
Ni kweli unataka kulima dengu au una kampango ka pembeni kutoka pale Kondoa?, maana, kama ni dengu inalimwa pale Kibaigwa barabarani kabisaaaaaaaaNaombeni mnipe majina ya maeneo yenye udogo wa mbuga nyeusi yenye kufaa Dengu kondoa pia mwelekeo(directions) ya hayo maeneo.
Issue najaribu kutafuta location iliyo karibu na mishe mishe zangu maana huku maeneo ya Manyara na Arusha bei za mashamba ni kubwaNi kweli unataka kulima dengu au una kampango ka pembeni kutoka pale Kondoa?, maana, kama ni dengu inalimwa pale Kibaigwa barabarani kabisaaaaaaaa