mbotoki
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 268
- 115
Wiki iliyopita nilikuwa na mradi fulani maeneo ya vijijini mkoani Shinyanga.
Katika pitapita niliona mmea fulani hivi una majani mapana yana miiba, na unatoa matunda fulani nayo ambayo yakiwa mabichi rangi yake ni kijani bt kwa yale mabivu yanakuwa na rangi ya papai bivu.
Nayo yana mibamiba.
Niliachwa hoi baada ya kutajiwa jina lake eti yanaitwa "Mafurahisha mk..du"
Nilihoji kwa nn yanaitwa hivyo sikupewa jibu la uhakika. Baadhi walisema ukiyala yanakufurahisha huko japo nao walidai wamesikia tu.
Jamani wachunguzi wangu, kwa anayeyafahamu anaweza kudadavua nielewe kiini cha kuyaita jina hilo?
Au aliyewahi kuyala ni vipi?