Jibu la jumla ni hivi:
Ikiwa unataka kununua gari ambalo spare zake zinapatikana kirahisi, jaribu kufanya kautafiti kuwa hizo gari zipo kwa wingi nchini au chache!
Ukipata jibu kuwa ni chache ujue na spare zake nazo ni adimu na ghali na zikiwa nyingi ujue spare nazo zinapatikana kirahisi