Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
inategemea na mahali na mtu anaeuza ....Je swala la ufugaji ukoje huko? malisho yakoje huko? na thamani ya kununuwa bei gani kwa heka?
Kwakweli ningependa sana kama nitaweza kupata shamba na lisiwe barabarani kwaajili ya ufugaji, kuanzia segera mpaka msata kokote huko kungeanifaa sana kwa ufugaji, handeni nafikiri wengi walisha kimbilia huko yatakuwa yamepanda bei sanainategemea na mahali na mtu anaeuza ....
Kwakweli ningependa sana kama nitaweza kupata shamba na lisiwe barabarani kwaajili ya ufugaji, kuanzia segera mpaka msata kokote huko kungeanifaa sana kwa ufugaji, handeni nafikiri wengi walisha kimbilia huko yatakuwa yamepanda bei sana
Unacho sema nikweli nakubaliana na ww. wewe upo huko?Njoo kusini hasa lindi. Maeneo yapo ni makubwa na maji yapo. Wasukuma wanahamia kwa kasi sana. Chukua maneno yangu utanishukuru baadae...