Mwenye kuijua vema hii Surf naomba taarifa zake

Mwenye kuijua vema hii Surf naomba taarifa zake

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,042
Reaction score
2,221
surf.jpg

Wakuu,kama kuna yeyote anaitumia hii Surf yenye ingine code 2TR - FE,naomba taarifa zake kwa ujumla!uwezo wake,uzur na ubaya wake,offroading,utumiaji wa mafuta etc
 
ngoja waje wadau, moja kati ya gari ninayoikubali.
 
ngoja waje wadau, moja kati ya gari ninayoikubali.
asante...ila sioni watu kama wamezichangamkia kama Harrier Tako la nyani.... 😀sijui kwa nn japo naiona hiyo iko poa sana
 
Back
Top Bottom