fabinyo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 3,042 Reaction score 2,221 Sep 6, 2020 #1 Wakuu,kama kuna yeyote anaitumia hii Surf yenye ingine code 2TR - FE,naomba taarifa zake kwa ujumla!uwezo wake,uzur na ubaya wake,offroading,utumiaji wa mafuta etc
Wakuu,kama kuna yeyote anaitumia hii Surf yenye ingine code 2TR - FE,naomba taarifa zake kwa ujumla!uwezo wake,uzur na ubaya wake,offroading,utumiaji wa mafuta etc
Ed Kawiche JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 2,987 Reaction score 5,566 Sep 6, 2020 #2 ngoja waje wadau, moja kati ya gari ninayoikubali.
fabinyo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 3,042 Reaction score 2,221 Sep 6, 2020 Thread starter #3 Ed Kawiche said: ngoja waje wadau, moja kati ya gari ninayoikubali. Click to expand... asante...ila sioni watu kama wamezichangamkia kama Harrier Tako la nyani.... 😀sijui kwa nn japo naiona hiyo iko poa sana
Ed Kawiche said: ngoja waje wadau, moja kati ya gari ninayoikubali. Click to expand... asante...ila sioni watu kama wamezichangamkia kama Harrier Tako la nyani.... 😀sijui kwa nn japo naiona hiyo iko poa sana