Mwenye kujua ai

Mwenye kujua ai

DIKASHWA

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
378
Reaction score
964
Me ni mdau wa mziki mzuri wa kwenye gari,wenye sterio ila sihitaji booster, au subwofer. Je kwa gari aina ya premio je naweza kupata wapi speaker za pembeni kwenye milango zenye watts kubwa na sterio hizi zilizokija na gari sizipendi sana.
 
Daah aisee tuko tofauti kabisa mkuu mi kuongezea mziki kwny gari ndo hua sitaki kabisa kabisa.

Nina Mark levinson naona inatosha kabisaa.

All the best boss.
 
Daah aisee tuko tofauti kabisa mkuu mi kuongezea mziki kwny gari ndo hua sitaki kabisa kabisa.

Nina Mark levinson naona inatosha kabisaa.

All the best boss.
Hehehee, mkuu, kwa hilo sound kuongeza chochote hapo utakua unalishushia hadhi tu aise..
 
Back
Top Bottom