DIKASHWA JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 378 Reaction score 964 Aug 10, 2019 #1 Me ni mdau wa mziki mzuri wa kwenye gari,wenye sterio ila sihitaji booster, au subwofer. Je kwa gari aina ya premio je naweza kupata wapi speaker za pembeni kwenye milango zenye watts kubwa na sterio hizi zilizokija na gari sizipendi sana.
Me ni mdau wa mziki mzuri wa kwenye gari,wenye sterio ila sihitaji booster, au subwofer. Je kwa gari aina ya premio je naweza kupata wapi speaker za pembeni kwenye milango zenye watts kubwa na sterio hizi zilizokija na gari sizipendi sana.
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Aug 10, 2019 #2 Daah aisee tuko tofauti kabisa mkuu mi kuongezea mziki kwny gari ndo hua sitaki kabisa kabisa. Nina Mark levinson naona inatosha kabisaa. All the best boss.
Daah aisee tuko tofauti kabisa mkuu mi kuongezea mziki kwny gari ndo hua sitaki kabisa kabisa. Nina Mark levinson naona inatosha kabisaa. All the best boss.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 10, 2019 #3 Ngoja wake kukuelekeza... Cc: mahondaw
RugambwaYT JF-Expert Member Joined Jan 11, 2014 Posts 1,397 Reaction score 1,899 Aug 11, 2019 #4 mng'ato said: Daah aisee tuko tofauti kabisa mkuu mi kuongezea mziki kwny gari ndo hua sitaki kabisa kabisa. Nina Mark levinson naona inatosha kabisaa. All the best boss. Click to expand... Hehehee, mkuu, kwa hilo sound kuongeza chochote hapo utakua unalishushia hadhi tu aise..
mng'ato said: Daah aisee tuko tofauti kabisa mkuu mi kuongezea mziki kwny gari ndo hua sitaki kabisa kabisa. Nina Mark levinson naona inatosha kabisaa. All the best boss. Click to expand... Hehehee, mkuu, kwa hilo sound kuongeza chochote hapo utakua unalishushia hadhi tu aise..
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Aug 11, 2019 #5 RugambwaYT said: Hehehee, mkuu, kwa hilo sound kuongeza chochote hapo utakua unalishushia hadhi tu aise.. Click to expand... Hahah kitu kinapiga quality music si mchezo mkuu.
RugambwaYT said: Hehehee, mkuu, kwa hilo sound kuongeza chochote hapo utakua unalishushia hadhi tu aise.. Click to expand... Hahah kitu kinapiga quality music si mchezo mkuu.