Mwenye kujua Bei ya gesi asilia na inauzwa wapi?

Mwenye kujua Bei ya gesi asilia na inauzwa wapi?

liganga4

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Posts
293
Reaction score
195
Kama mada Inaavyojieleza nia yangu nikuona kama gesi yetu inaweza kutupunguzia makali kiasi gani kulinganisha na nishati ya mafuta.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mi navyojua Gesi Asilia haifai kuwekwa Mitungini.. Kuhusu Kununua ni mpaka uwe karibu na bomba la gesi hiyo.
 
Wale wanaotumia kwenye magari inakuwaje?

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Hiyo ni natural gas huko kwa wenzetu
IMG_20220513_073817.jpg

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Attachments

Ngoja waje kukupa muongozo... Ila Russia zipo nyingi...
 
Back
Top Bottom