Mwenye kujua bei za moneymaker kwa ajili ya umwagiliaji

kibila

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
799
Reaction score
554
Habari zenu wakuu tafadhari naomba kujuzwa ubora wa hizi money maker na gharama za ununuzi wake zikoje.
 
Money Maker mkuu?!!
Nakuonea huruma sana ile sio nyenzo bali ni mateso! Kama una nia ya kulima kilimo cha faraja na ukaipenda kazi yako tafadhari sana tuwasiliane nikuuzie waterpump nchi2 kwa sh200000/= imetumika kidogo sana ni kama mpya. Ukiihitaji nicheck fasta!
Kuhusu money maker, kwanza ina uwezo wa kumudu robo eka tu na shuruba ipo kwenye kumwagilia sasa lazima uote vigimbi!! Na kingine kibovu kwenye teknolojia hii ni kwamba huwezi ku-operate peke yako ni lazima kuwe na mtu wa kupump maji na mwingine wa kushika pipe ya kumwagilia.
Nakumbuka mara ya mwisho wakala wao mkoa wa Moro alikuwa anauza sh250,000 hiyo ni bei ya mwaka 2012.
Sibezi teknolojia hii ila ni majanga kwakweli inabidi warudi shule waje na mechanism ningine ya kumkwamua mkulima mdogo!!
 
Tembelea pia maduka kuna pump nyingi za mafuta bei nafuu ambazo ni bora zaidi ya hii old technology unayotaka kununua. Fanya window shoping kuna mpaka za 400,000/- bora kabisa.
 
Kwa bei hiyo napata ikiwa full nikimaanisha na mpira wa kumwagilia au ni pump peke yake?
 
Nashukuru kwa mawazo mazuri,japo kuna mtu aliniambia izi water pump mpira wa kumwagilia una bei yake pia pump pia bei yake ivyo nikaona ni gharama sana kwani kwa makadilio ya haraka ilinipasa niwe na km laki nne na nusu ili kufanikisha kununua iyou full set
 
Kwa bei hiyo napata ikiwa full nikimaanisha na mpira wa kumwagilia au ni pump peke yake?

Mkuu hiyo ni pump pekeake.
Kama chanzo cha maji kipo karibu na shamba usihofu kuhusu mipira. Ukinunua mpira kusukumia maji wa mita30 unatosha sana kuyafikisha maji shamba na kutengeneza mifereji ya umwagiliaji kwa njia ya Faro.
Bei ya mpira wa mita30 nchi2 haizidi elfu50, na utanunua koromeo futi5 nayo haizidi sh40000/= hapo unaweza kufanya kilimo cha zaidi ya ekari2.5 bila shida.
Tuwasiliane kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom