Money Maker mkuu?!!
Nakuonea huruma sana ile sio nyenzo bali ni mateso! Kama una nia ya kulima kilimo cha faraja na ukaipenda kazi yako tafadhari sana tuwasiliane nikuuzie waterpump nchi2 kwa sh200000/= imetumika kidogo sana ni kama mpya. Ukiihitaji nicheck fasta!
Kuhusu money maker, kwanza ina uwezo wa kumudu robo eka tu na shuruba ipo kwenye kumwagilia sasa lazima uote vigimbi!! Na kingine kibovu kwenye teknolojia hii ni kwamba huwezi ku-operate peke yako ni lazima kuwe na mtu wa kupump maji na mwingine wa kushika pipe ya kumwagilia.
Nakumbuka mara ya mwisho wakala wao mkoa wa Moro alikuwa anauza sh250,000 hiyo ni bei ya mwaka 2012.
Sibezi teknolojia hii ila ni majanga kwakweli inabidi warudi shule waje na mechanism ningine ya kumkwamua mkulima mdogo!!